Force touchscreen support to always be enabled or disabled, or to be enabled when a touchscreen is detected on startup (Automatic, the default).
Lazimisha msaada wa skrini ya kugusa ili kuwasha au kuzima wakati wote, au kuwashwa wakati skrini ya kugusa inapogunduliwa wakati wa kuanza (Kiotomatiki, chaguo-msingi).
Touch adjustment
Urekebishaji wa mguso
Refine the position of a touch gesture in order to compensate for touches having poor resolution compared to a mouse.
Boresha nafasi ya ishara ya mguso ili kufidia miguso iliyo na msongo mbaya ikilinganishwa na kipanya.
Composited render layer borders
Mipaka iliyochanganywa ya kuonyesha safu
Renders a border around composited Render Layers to help debug and study layer compositing.
Inaonyesha mpaka katika Safu zilizojumlishwa za Kuonyesha ili kusaidia kutatua na ujumuishaji wa safu ya mafunzo.
GL composited texture quad borders
Fremu za pembe nne za mchanganyiko wa mguso wa GL
Renders a border around GL composited texture quads to help debug and study overlay support.
Huwasilisha fremu kando ya pembe nne za mchanganyiko wa mguso wa GL ili kusaidia kutatua hitilafu na matumizi ya kusoma kuwekelea.
Debugging keyboard shortcuts
Utatuaji wa njiamikato za kibodi
Override software rendering list
Futa orodha ya kuonyesha programu
Overrides the built-in software rendering list and enables GPU-acceleration on unsupported system configurations.
Inafuta orodha ya uonyeshaji ya programu iliyojengewa ndani na kuwezesha uharakishaji wa GPU katika usanidi wa mfumo usiohimiliwa.
Inert visual viewport.
Sehemu ya kutazamia inayoonekana isiyoweza kusonga.
Experiment to have all APIs reflect the layout viewport. This will make window.scroll properties relative to the layout viewport.
Jaribio la API kuakisi sehemu ya kutazamia muundo. Hii itafanya sifa za window.scroll kulingana na muundo wa sehemu ya kutazamia.
Threaded compositing
Mchanganyiko wa nyuzi
Uses a secondary thread to perform web page compositing. This allows smooth scrolling, even when the main thread is unresponsive.
Inatumia mtungo wa pili ili kutekeleza mchanganyiko wa ukurasa wa wavuti. Huku kunaruhusu kutembeza kwepesi, hata kama mtungo kuu umekwama.
Accelerated overflow scroll
Utembezaji wa ziada ulioharakishwa
When possible, puts the scrolling contents of an overflow scrolling element onto a composited layer for faster scrolling.
Inapowezekana, huweka maudhui ya kutembeza ya kipengele cha ziada cha kutembeza kwenye safu iliyounganishwa kwa ajili ya kutembeza haraka.
DirectWrite
No translations found
Enables the use of experimental DirectWrite font rendering system.
Huwasha matumizi ya mfumo wa majaribio wa utekelezaji wa fonti ya DirectWrite.
Experimental canvas features
Vipengele vya majaribio vya mkusanyiko
Enables the use of experimental canvas features which are still in development.
Inawasha utumiaji wa vipengele vya jaribio la turubai ambavyo bado vinakuzwa.
Accelerated 2D canvas
Mikusanyiko ya 2D iliyoakibishwa
Enables the use of the GPU to perform 2d canvas rendering instead of using software rendering.
Huwasha matumizi ya GPU kutekeleza uonyeshaji wa mkusanyiko wa 2d badala ya kutumia uonyeshaji wa programu.
Display list 2D canvas
Mkusanyiko wa 2D wa orodha ya kuonyesha
Enables the use of display lists to record 2D canvas commands. This allows 2D canvas rasterization to be performed on separate thread.
Inawasha matumizi ya kuonyesha orodha ili kurekodi amri za mkusanyiko wa 2D. Hii inaruhusu uwekaji safu za picha kwenye mkusanyiko wa 2D ili kutekelezwa kwenye mazungumzo tofauti.
Enable 2D canvas dynamic rendering mode switching.
Washa kipengele cha kubadilisha hali ya utoaji wa mkusanyiko wa 2D.
There are multiple implementations of the graphics rendering pipeline for the 2D canvas. These different implementations have different performance characteristics. Turning on this flag allows canvas 2D contexts to switch between these implementations on the fly based on how the canvas is used in order to increase performance. For example, going from an implementation that uses the GPU to one that doesn't.
Kuna utekelezaji mwingi wa picha zinazongojea kuwasilishwa kwa mkusanyiko wa 2D. Utekelezaji huu tofauti una sifa tofauti za utekelezaji. Kuwasha bendera hii kutaruhusu miktadha ya mkusanyiko wa 2D ili ubadilishe utekelezaji huu upendavyo unaposafiri kulingana na jinsi mkusanyiko unavyotumika ili kuongeza utendaji. Kwa mfano, kutoka kwenye utekelezaji unaotumia GPU hadi utekelezaji usiotumia GPU.
Experimental Extension APIs
API za Kiendelezi cha Jaribio
Enables experimental extension APIs. Note that the extension gallery doesn't allow you to upload extensions that use experimental APIs.
Inawezesha APl za kiendelezi cha majaribio. Kumbuka kwamba ghala la kiendelezi halikuruhusu kupakia viendelezi vinavyotumia APl za majaribio.
Extensions on vivaldi:// URLs
Viendelezi kwenye Vivaldi:// URLs
Enables running extensions on vivaldi:// URLs, where extensions explicitly request this permission.
Huwasha uendeshaji wa viendelezi kwenye vivaldi:// URLs, pale ambapo viendelezi huomba idhini hii kwa wazi.
Fast tab/window close
Ufungaji haraka wa kichupo/dirisha
Enables fast tab/window closing - runs a tab's onunload js handler independently of the GUI.
Huwasha ufungaji wa haraka wa kichupo/dirisha - huendesha vishikilizi vya onunload js vya kichupo kwa kujitegemea kando ya GUI.
'Window-controls' element
Kipengee cha 'vidhibiti vya dirisha'
Enables using 'window-controls' HTML elements in packaged apps.
Huwasha matumizi ya vipengele vya HTML vya 'window-controls' HTML katika programu zilizofungashwa.
User consent for extension scripts
Kibali cha mtumiaji kwa hati za kiendelezi
Require user consent for an extension running a script on the page, if the extension requested permission to run on all urls.
Hitaji kibali cha mtumiaji kwa kiendelezi kinachoendesha hati kwenye ukurasa, ikiwa kiendelezi kimeomba ruhusa ya kuendesha kwenye url zote.
New history entries require a user gesture.
Maingizo mapya ya historia yanahitaji ishara ya mtumiaji.
Require a user gesture to add a history entry.
Inahitaji ishara ya mtumiaji ili iongeze ingizo la historia.
Hyperlink auditing
Ukaguzi wa kiungo
Sends hyperlink auditing pings.
Hutuma mito ya ukaguzi wa kiungo.
This page is in$1Would you like to translate it?
Ukurasa huu umeandikwa kwa$1Je, ungependa kuutafsiri?
Gesture Tap Highlighting
Uangazaji wa Ugongaji wa Ishara
Enable the experimental gesture tap highlight implementation.
Wezesha utekelejazi wa majaribio ya mwangaza wa mguso wa ishara.
Smooth Scrolling
Utembezaji Mweroro
Animate smoothly when scrolling page content.
Huuisha kwa njia taratibu unaposogeza maudhui ya ukurasa.
Overlay Scrollbars
Wekelea Pau za kusogeza
Enable the experimental overlay scrollbars implementation. You must also enable threaded compositing to have the scrollbars animate.
Washa utekelezaji wa upau wa kusogeza jaribio la kuwekelea. Lazima uwashe utungaji wa mazungumzo ili kuhuisha upau wa kusogeza.
Show Autofill predictions
Onyesha utabiri wa Kujaza kiotomatiki
Annotates web forms with Autofill field type predictions as placeholder text.
Ongezea maelezo fomu zilizo na utabiri wa aina ya uga Mjazo-otomatiki kama maandishi ya kishika nafasi.
Enable Autofill Credit Card Signin Promo
Washa Kipengele cha Tangazo la Kujaza Kiotomatiki la Kuingia Katika Akaunti la Kadi ya Mikopo

Vivaldi Translation Team invites you to become a translator to help them translate their Chromium strings project.

Sign up for free or login to start contributing.