Uses an iframe-based sign-in flow instead of a webview-based flow.
Hutumia mtiririko wa kuingia katika akaunti kulingana na iframe badala ya mtiririko kulingana na mwonekano wa wavuti.
Media Router
Ruta ya Maudhui
Enables Vivaldi to access external presentation-type displays and use them for presenting web content.
Huwasha Vivaldi ili ifikie maonyesho ya aina ya wasilisho la nje na kuyatumia kuwasilisha maudhui ya wavuti.
Print Preview Registration Promos
Matangazo ya Usajili wa Onyesho la Kuchungulia la Printa
Enable registering unregistered cloud printers from print preview.
Washa kusajili printa za wingu ambazo hazijasajiliwa kutoka onyesho la kuchungulia la printa.
Scroll prediction
Utabiri wa kusogeza
UI Layout for the browser's top chrome
Muundo wa Kiolesura cha chrome ya juu ya kivinjari
Toggles between normal and touch (formerly "hybrid") layouts.
Hugeuza kati ya miundo ya kawaida na kugusa (iliyokuwa ikiitwa "mahuluti").
Normal
Ya kawaida
Touch
Skrini za kugusa
Material Design in the rest of the browser's native UI
Usanifu Bora katika Kiolesura chote asili cha kivinjari
Extends the --top-chrome-md setting to secondary UI (bubbles, dialogs, etc.).
Hupanua mipangilio ya --top-chrome-md kuwa Kiolesura cha pili (viputo, madirisha, n.k.).
Predicts the finger's future position during scrolls allowing time to render the frame before the finger is there.
Hutabiri sehemu kidole kitakapokuwa wakati ujao wa kusogeza na hivyo kuruhusu muda ili kuonyesha fremu kabla kidole hakijatua.
Add to shelf
Ongeza kwenye kabati
Enable the display of add to shelf banners, which prompt a user to add a web app to their shelf, or other platform-specific equivalent.
Washa onyesho la ongeza kwenye mabango ya rafu, yanayomwomba mtumiaji kuongeza programu ya wavuti kwenye rafu yake, au mbinu nyingine mahususi inayolingana.
Bypass user engagement checks
Kwepa ukaguzi wa ushirikishaji wa watumiaji
Bypasses user engagement checks for displaying app banners, such as requiring that users have visited the site before and that the banner hasn't been shown recently. This allows developers to test that other eligibility requirements for showing app banners, such as having a manifest, are met.
Hukwepa ukaguguzi wa kushirikisha mtumiaji kwa kuonyesha mabango, kama vile kuhitaji watumiaji wawe wamewahi kutembelea tovuti awali na kuwa bango halijaonyeshwa hivi majuzi. Hili linawaruhusu wasanidi programu kuhakikisha kuwa mahitaji mengine ya kustahiki kuonyesha mabango ya programu, kama vile kuwa na faili ya maelezo, yametimizwa.
Enable touch events
Wezesha matukio ya mguso

Vivaldi Translation Team invites you to become a translator to help them translate their Chromium strings project.

Sign up for free or login to start contributing.